Ndugu msomaji wa hii safu napenda kukupongeza kwanza kwa kuwa na hamu ya kusoma hiki ambacho kipo hapa na kubwa zaidi unasoma moja ya history yangu kiukweli mimi ni shabiki wa cuf tangu niko mdigo pamoja nakuwa na family zima ni ccm lakini mimi nilikuwa napinga harakati za vijana wa ccm namimi nilifanya harakati zangu nakumbuka siku moja nilikuwa nazungumza kitu ambacho mama hakupenda nizungumze kutokana na hali ya muda ambao tulikuwa nao yalikuwa majila ya usiku mama akanionya lakini mimi nilibisha hatimaye.kesho nilitakiwa kwenda kuwapigia watu kura lakini niligomewa kutokana na hali hiyo ipinifanya nijulikanike kwa wepesi kuwa.........................>>>>>>>inaendele
CaringBridge is a nonprofit social network dedicated to helping family and friends communicate with and support loved ones during a health journey. Learn more about CaringBridge.