Mapenzi ni sehemu ya maisha kwa kila binadamu yoyote. Unaweza kujiuliza kwa nini nimeanza kusema hivyo . wewe na Mimi sio wageni wa mapenzi kama sio kulizwa kwa sababu ya mapenzi basi ata kuwachwa na mpenzi wako, tumeshuudia Mara nyingi sana mtu anajiua au anamuua mpenzi wake sababu tu mapenzi, wakati mwingine eti mtu anashindwa kumalizana na mpenzi wake ugomvi wao wanaumalizia kwa watoto ambao awajuwi kitu chochote. Utajiuliza maswali eti mapenzi nini ni kitu gani kinacho wasumbua watu baunsa analizwa, afande nae ana ujanja kwa mpenzi wake Sasa Leo tumekuletea ukurasa ili ujifunze mambo yanayo tokea katika mapenzi utaona video mbalimbali zinazo onyesha vituko vya wapendanao
CaringBridge is a nonprofit social network dedicated to helping family and friends communicate with and support loved ones during a health journey. Learn more about CaringBridge.